Wanawake wa kabila la Suri linalopatikana nchini Ethiopia ambao
wamewekewa kisaani kwenye midomo yao ya chini pindi walipofikia balehe
ikiwa ni alama ya kuwakilisha uzuri wa mwanamke wa kabila hilo.
Wanaanza kuwekewa kisaani kidogo na kuwekewa kikubwa kadri wanavyokuwa.
Inasemwa kuwa, ukubwa wa kisaani ndo ukubwa wa maali. Via Daily mail

Post a Comment