Maelezo ya hatua wanayochukua "Tanzania Kwanza" nje ya Bunge - Audio

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wanaounda kundi la 'Tanzania Kwanza' wamezungumza na Waandishi wa habari leo na kuelezea mipango na mikakati watakayoichukua wakiwa nje ya vikao vya Bunge hilo.

 Tafadhali bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini, yenye audio kutoka 'Habari Maelezo,' ili kusikiliza.
 

Post a Comment

Previous Post Next Post