Makamu Mwenyekiti
wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Dk Julie Makani akihojiwa na waandishi
wa habari katika hafla ya kuhamsidha jamii kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa
sikoseli 'seli mundu' iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Ugonjwa
wa sikoseli hurithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili wenye vinasaba vya
ugonjwa huo |
Post a Comment