Makamu Wa Rais Dk Bilal anusurika katika ajali ya Helikopta

Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopta iliyotokea leo Jijini Dsm
 

Post a Comment

Previous Post Next Post