Bondia wa Argentina, Marcos Maidana amesema anajiamini kuwa Floyd Mayweather.

Bondia hiyo amesema ushindi wake dhidi ya Mayweather kwenye pambano
litakalofanyika Jumamosi ya May 3 jijini Las Vegas, Marekani utakuwa
gumzo kwenye historia ya masumbwi.

‘Mimi ni bingwa na niko tayari kupigania mkanda wangu,’ alisema
Maidana. ‘La msingi zaidi, najianda kumtwanga Mayweather. Kitu
ninachohofia zaidi ni mkanda wangu. Nataka kujinoa tu ili Mayweather.’
Post a Comment