Nicki Minaj hataki tena kuvaa mawig ya rangi rangi kama zamani
na muonekano huo umeonekana kuwavutia wengine. Ndio maana kwenye
wasichana waliopendeza kwenye red carpet ya tuzo za filamu za MTV
zilizofanyika jana nchini Marekani, Nicki ni mmoja wao. Akiwa na gauni
jeusi lililolishika vyema umbo lake la kuvutia, Nicki alikuwa hajavaa
kitu muhimu zaidi.. nguo ya ndani. Hata hivyo kwa muundo wa nguo yenyewe
haikuwa rahisi kushtukia hili hasa kama ukimwangalia kwa mbele au
nyuma.



Post a Comment