Hongqi L5 limousine ndio inasemekana kuwa ‘China’s most
expensive car’, ambayo gari ya kwanza ya toleo hilo imeuzwa kwa Yuan
milioni 5 ambayo ni sawa na dola laki nane za Marekani sawa na shilingi
bilioni moja na milioni mia tatu+ (1,300,600,000).

Boombering imeripoti kuwa mteja wa kwanza kununua gari hiyo huko Nanjing ni tajiri wa China atakayebidhiwa gari yake miezi mitatu ijayo.












Source: BBC
Post a Comment