Rais Jakaya Kikwete akiwapongeza askari hao wa miamvuli mara baada ya kutua kwenye uwanja wa Uhuru.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Kikosi
cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika
mapambano ya Karatee na mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.
Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui.
Sasa ni zana za kivita
Hiki ni Kifaru
Kifaru cha kivita kikipita mbele ya wanahabari na wananchi waliohudhuria katika maadhimisho hayo.
Wananchi wakishuhudia vifaru vikipita wakati wa maadhimisho hayo.
Makombora mazito ya kivita yakipita
Makombora ya kutungulia ndege za adui nayo yakionyeshwa kwa wananchi.
Askari
wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa
Uhuru baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000
angani.
Askari
wa miamvuli ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakishuka kwenye uwanja wa
Uhuru baada ya kuruka kwenye ndege umbali wa mita zaidi ya elfu 4000
angani.
Wakienda kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Kikwete.








SEFU na lipumba WALIHUDHURIA
ردحذفإرسال تعليق