
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu katika
Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati na
Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es
salaam leo April 15, 2014
Post a Comment