‘The Carters’ washerehekea Ushindi wa ‘$600M Lawsuit’ ndani ya “COACHELLA Music Festival”

20140414-211219.jpg
“The Carters” Week End hii walikua wanajiachia mitaa ya East Coast ambapo wameahiriki katika moja ya Festivals kubwa sana duniani inayofanyika kila mwaka “Coachella Music Festival”. BEYONCE Knowles CARTER aka Mrs. Carter, aliingia kwenye stage akiwa na mdogo wake SOLANGE KNOWLES pamoja wakicheza OLD School Style huku Jay Z (Mr Carter) na mshkaji wake wa kitambo NAS Escobar walikifanya “Surprise” sababu haikuwa kwenye Ratiba kwa muda huo.
20140414-205637.jpg
“The Carters” wakiwa ndani ya Coachella, ukiacha tu kusherehekea “Smash Performance” walikua wanasherehekea ushindi wa $600 million Lawsuit iliyokuwa inamkabiri Mr Carter, kutokana na Radar Online Kuwa “Hip Hop Mogul” huyo imeripotiwa kuwa ameshinda kesi ya “$600 Million Lawsuit” ambayo alishtakiwa na Dr. Francois De Cassagnol kuwa mfanya Biashara huyu mkubwa nchini marekani JAY Z yeye pamoja na wafanyabiashara wenzake kuwa wamelimaliza jina “Brooklyn Net” .Nakala za mahakama zimesema kuwa wanatupilia mbali madai hayo sababu De Cassagnol hajaonyesha nakala zozote zinazoonyesha kuwa Jay Z na wenzake wamefanya kitendo hicho cha kutumia jina hilo la Brooklyn Net kwa manufaa yao.
Angalia picha zaidi za “The Carters” ndani ya Coachella Music Festival.
20140414-211041.jpg
20140414-211103.jpg
20140414-211133.jpg

Post a Comment

Previous Post Next Post