Beyonce Knowles amekava jarida la Time la watu 100 wenye
ushawishi zaidi duniani. Katika orodha hiyo wasanii waliotajwa ni pamoja
na yeye mwenyewe, Pharrell Williams na Miley Cyrus. Kwenye upande wa
filamu wapo Kerry Washington, Steve McQueen, Keegan-Michael Key na
Jordan Peele, Matthew McConaughey, Yao Chen na wengine.
Soma orodha yote hapa.
Soma orodha yote hapa.
Post a Comment