Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za
Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa
Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi
nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu
hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari
anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri
huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina
ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni
Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata..alisema uwoya

Post a Comment