


Kundi la
THT wimbo wa kutokomeza malaria ujulikanao kama Malaria
No More katika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,kabla ya kuanza
kwa mtanange wa
watatni wa jadi Simba na Yanga.Vodacom Tanzania kwa
kushirikiana na
Taasisi ya Malaria No More na THT walipokuwa wakitangaza
namba maalumu
ambayo wateja wanaotumia huduma za Vodacom wanaweza
kuitumia kupata
taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja kuweza
kupata
taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na masuala mengine
mbalimbali ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni kujiunga kwa kutuma
neno "Malaria" au "Mzinduka" kwenda nambari 15760 bila malipo.

namba maalumu ambayo wateja wanaotumia huduma za Vodacom wanaweza
kuitumia
kupata taarifa zinazohusiana na ugonjwa wa malaria. Ili mteja
kuweza kupata
taarifa hizo zinazohusisha jinsi ya kujikinga, tiba na
masuala mengine mbalimbali
ya Malaria anachopaswa mteja kufanya ni
kujiunga kwa kutuma neno
"Malaria" au "M zinduka" kwenda nambari 15760
bila malipo.









Post a Comment