HomeKITAIFA Wafanyakazi New Habari (2006) wapinga ubaguzi Hisia April 30, 2014 0 Wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari (2006), jana walijumuika na baadhi ya mastaa duniani kula ndizi kama ishara ya kupinga vitendo vya kibaguzi kama alivyofanyiwa mchezaji Daniel Alves wa Barcelona
Post a Comment