Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kambe,mtangazaji wa MKASI TV,
Salama Jabir. Marco Chali, marapper Godzilla na DKnob wameungana na
mastaa wa soka duniani na watu wengine kupiga picha wakila ndizi
kumuunga mkono mchezaji wa Barcelona Dani Alves aliyeibuka shujaa kwa
kula ndizi aliyotupiwa uwanjana na shabiki mbaguzi.
Kupitia mitandao yao ya kijamii watu mbalimbali wameonyesha hisia zao
kwa kumuunga mkono Dani Alves kupinga ubaguzi wa rangi duniani.
Zitto Kabwe akila ndizi
Watanzania wakisambaza ujumbe kwa ndizi
Watanzania wakiungana na wanasoka kupambana na ubaguzi wa rangi kwa kula ndizi
I wanna be a monkey too…. #proud2bBlack
Post a Comment