Baada ya party ya Aries iliyofanyika March 29 na kufana, watu
Taurus (waliozaliwa kuanzia April 20 mpaka May 19) nao walifanya yao
Jumamosi iliyopita (26 April) kwenye pale Club 327, Dar es Salaam.
Pamoja na burudani zingine, rapper Cpwaa alitumbuiza. Tazama baadhi ya
picha za party hiyo.
Post a Comment