”44 is the New 20!” Jennifer Lopez aachia Album Art. A.K.A.

Jennifer-Lopez-A.K.A-BN-Music-May-2014-BellaNaija.com_-600x600
The hot mama of 2 serves major sex appeal on the cover of her new album art – A.K.A.
JLo akionyesha amazing figure ndani ya Red akiwa ame match na Red Background ndio cover ya album yake ya 10, JLo ambae ana umri wa miaka 44 kwa sasa, amekuwa kwenye game kwa muda mrefu tokea ni Dancer wa Janeth Jackson mpka kuja kuwa na mahusiano ya Mapenzi na Musix Mogul Sean Puffy Combs mpaka kutoka kwake na kuitingisha dunia ya muziki wa RNB.
“Hot Mama of 2″ anategemeankuachia album hiyo hivi inayojulikana kama AKA ambayo inasemekana dunia itamtambua sababu amejipanga vilivyo kufanya kazi ambayo siku zote tunajua kuwa hanaga mchezo ikija kwenye kazi ya muziki.

Post a Comment

Previous Post Next Post