Angalia Picha za utengenezaji wa video mpya ya BABY MADAHA “NAWAPONDA”
Hisia0
Jana tarehe 7 msanii Baby Madaha ambaye
anamilikiwa na lebo kubwa ya Nairobi Kenya “Candy n Candy” alikuwa
anashoot video yake mpya inayokwenda kwa jina la NAWAPONDA. Wimbo huu
umetengenezwa na Prod Joe kutoka Candy n Candy na video imefanywa na Dir
Alphan kutoka Nisher Entertainment.
Post a Comment