HomeENTERTAINMENT Angalia Picha za Utengenezaji wa video ya wimbo mpya wa Shaa ‘Subira’ Hapa. Hisia May 19, 2014 0 Sarah Kaisi aka Shaa ameshoot video ya wimbo wake mpya, ‘Subira’. Kama kawaida muongozaji wa video ni Adam Juma. Tazama picha hizi za wakati wakishoot.
Post a Comment