Akizungumza kwa njia ya simu kutoka mji wa ‘Chibok’ nyumbani kwao kaskazini mwa nchi ya Nigeria ambapo ndipo uvamizi huo ulipofanyika, juhudi za kuwaokoa wanafunzi hao zimegonga ukuta kwa zaidi ya wiki nne tokea watiwe nguvuni Miss Lawan alisema, anajisikia vibaya sana anapokutana na wazazi wa wasichana wenzake wakilia sana baada ya kumuona ambao watoto wao bado wamebaki kwa kushindwa kutoroka kama yeye.
“I am pained that others could not summon the courage to run away with me, Now I cry each time I come across their parents and see how they weep when they see me.”
Police wa nchini Nigeria wamesema wasichana zaidi ya 53 ambao wamefanikiwa kutoroka wamesema kuwa, maharamia hao wameendelea na vitisho vya kuwaambia kuwa wanawauza kama watumwa na wengine wanawaoa wao na kubaki kuishi nao. Ameongeza kwa kusema kuwa Boko Haram walikua wakiongelea kurudi kijijini hapo na kuchoma nyumba na mashule ya mji huo wa Chibok, kitendo hicho kinamtisha sana akifikiria kurudi shuleni hapo au nyumbani lakini atafanyaje.
“I am really scared to go back there but I have no option if I am asked to go because I need to finish my final-year exams which were stopped half way through,” she said.
Inasemekana Boko Haram wanavyoingia kuchukua wasichana, vile vile wanaingia kwenye maduka na maghala kupora chakula na mahitaji mengine ya binadamu.
“Even as they go along abducting children, they are also going after food, grabbing food,”. Former Nigerian Air Force, Commodore Darlington Abdullah aliiambia ‘Sky News’ kwenye mahojiano na alitoa ushauri kwamba jeshi liingilie kati na kuwalazimisha Boko Haram waweze kuwakacha wanafunzi ndio uwezo wa uokoaji utafanikiwa.
Post a Comment