Waziri
wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Magufuli Leo ameongoza zoezi la Kuapishwa kwa
Wahandisi zaidi ya 100 (Kiapo cha uaminifu katika kazi yao)katika hoteli
ya African Dream Mjini Dodoma.
Zoezi
la kuwaapisha Wahandisi hao limefanywa na Hakimu Mkazi Mhe.Verynice
Kawishe na Kusimamiwa na Wakili Mkuu wa Serikali (PSA) Mhe.Donald
L.Chidowu.
Walio
walioapishwa ni Wahandisi Viongozi kumi, walioapishwa mmoja mmoja. Kundi
hili likijumuisha Makatibu wakuu Manaibu na Wabunge. Kundi la pili ni
Wahandisi mia moja ishirini ambao walikula kiapo cha Pamoja.

Naibu Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Eng.Dkt.Charles Tizeba akipongezwa na Mhe. Dkt John Magufuli mara baada ya kuapishwa.

Wahandisi
viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Hakimu Mkazi Mhe.Verynice
Kawishe wakati akiapisha Wahandisi 120 kwa pamoja.

Wahandisi wakiwa wanaapa kwa pamoja.

Wahandisi wakiwa wanaapa kwa pamoja.

Wahandisi
wakiwa katika picha ya Pamoja kwa makundi manne tofauti mara baada ya
kula kiapo cha uaminifu katika kazi yao ya Uhandisi.



Post a Comment