Hii Kali:- Inasemekana mkataba mnono wa Vanessa Mdee wasababisha kumtosa Meneja wake.
Hisia0
Miongoni
mwa watu waliokula shavu nono kutoka kampuni ya Airtel ni pamoja na
Vanessa Mdee aka ‘Vee Money’ ingawa haujawekwa wazi ni mkataba wa
kampuni gani lakini inasemekana baada ya kusaini mkataba wa hela nyingi
amemtosa Meneja wake.
Post a Comment