STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson
Jujuman ameonesha upande wake wa pili baada ya kuwabwatukia wakwe zake
aliposikia kuwa wana mpango wa kumpa talaka ili aachane na mumewe Sunday
Demonte kutokana na tabia yake kwa kuwa siyo mwanamke wa kuoa (wife
material).
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson Jujuman.
Post a Comment