Hizi ndio Picha za utengenezaji wa video mpya ya JULIO “HAINA NOMA” ft Chege Chigunda na Madee - Pitia uangalie.

IMG-20130831-WA0009 
Hizi ni picha za backstage wakati wakutengeneza video ya Julio ft Chege na Madee wimbo unaitwa Haina Noma. Video iliyotegenezwa na Adam Juma wa Next Level na video itatoka wiki hii…shukrani kwa support yenu 
 IMG-20140514-WA0027IMG-20140514-WA0022

Post a Comment

Previous Post Next Post