SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/G/21
17 Mei, 2014
KUITWA KAZINI
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 04
hadi 30 Machi, 2014 ambao baadhi ya wasailiwa waliofaulu usaili husika
mchakato wa kuwapangiwa vituo vya kazi ulikuwa unakamilishwa. Orodha
ya majina yao ni kama yanavyoonekana katika Tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa
katika muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za kupangiwa vituo
vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) vya masomo
kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya
kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.
Post a Comment