
Mwakilishi
wa Jimbo la Wawi Swaleh Nassor Juma akiuliza maswali katika Ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.

Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakiwa katika kazi zao katika Ukumbi wa Juu wa
Baraza la wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Picha: Simai Yusuf –
Maelezo
Post a Comment