Lamar na XXL waja na project "The Refix" kila wiki wataachia ngoma moja, wameanza na ya diamond

Lamar akishirikiana na XXL wamekuja na project mpya "The Refix" ambapo ngoma kali zimetengenezwa upya kukidhi mahitaji ya  wanaoenda club, kuweza kuruka kwanja kwa ngoma za kibongo.
"The Refix ni kwamba nai re fix hiyo nyimbo ambayo ilikuwa hit, naitengeneza kwenye mahadhi ya electro pop au electro house" amesema Lamar
Project hiyo mpaka hivi sasa imeshakamilisha ngoma ishirini, n akwa taratibu walizojiwekea ni kutoa ngoma kila mwisho wa wiki na baadae kufanyika kwa beach party huku tukiruka na ngoma zetu za kibongo

Post a Comment

Previous Post Next Post