Lebron JAMES, Mwanamichezo anaelipwa pesa nyingi sana Duniani.

20140507-000424.jpg
LeBron James na Miami Heat ndio “the favorites in Las Vegas” ambao wameshinda ’2014 NBA title’ baada ya kuwatwanga ‘Charlotte Bobcats’ katika round ya kwanza ya “playoffs”. Huu ni ushindi wa mara ya 3 mfurulizo kwa Lebron na timu yake. James anaikamata tena MVP Award ya mwaka huu baada ya kushinda bikombe 4 kati ya 5.
King James ndio TOP wa “NBA’s endorser” ambapo anajipatia kiasi cha $42 Million kwa “endorsement” peke yake. ‘Nike’ peke yake, waliuza kiasi cha $300 million za “James’ signature sneakers” ndani ya U.S. Tu, ukiringanisha na $175 million alizouza Kevin Durant, King James amepata endorsement za kampuni kubwa sana duniani na kati ya hizo kampuni kubwa ni DUNKIN & DONUTS, NIKe, CoCACOLA na SAMSUNG. kutokana na SportsOneSource, King James is “the world’s highest-paid athletes”.

Post a Comment

Previous Post Next Post