Lupita akiwa na muonekano wake mahili kama kawaida yake ndani ya white na Silver Dress iliyotengenezwa na “Bibhu Moapatra” huku akimalizia na “Christian Louboutin Shoes” akizungukwa na mastar waliokuwa zaidi ya yeye na sasa yeye ni star kuliko wao. Kwa sasa vyombo vya habari duniani vinasubiri kwa makini sana mwanadada huyu atakuja na nini tena maana baada ya “12 Years of Slave” imehamsha kila alichokua anawaza katika maisha yake na kufungua kila aina ya milango ya mafanikio.
Post a Comment