![]() |
| Maggid Mjengwa |
Karibu
katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni
mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza
Production.
Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo
wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania.
Huu ni
mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo
muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki
Karibu

Post a Comment