Fashion designer anayekuja juu kwa kasi nchini Jocktan Wa Makeke Afrika
kesho kutwa atafanya kweli katika shindano la Miss IFM 2014 ambapo
atawavalisha warembo hao kuanzia nguo za ufunguzi wa show, ubunifu na
nguo za kutokea usiku. Shindano hilo linafanyika Ijumaa hii Golden Tower
Jubilee uliopo posta jijini Dar es salaam. Akizungumza na SWP designer
huyo ambaye ni mhitimu wa degree ya sanaa kutoka chuo kikuu cha
Dodoma(UDOM) alisema "show
ni miss IFM 2014, itafanyika pale Golden Tower Jubilee, so warembo
wote watavalishwa na Makeke nguo zote kutoka opening show , ubunifu
na evenig dresses, tarehe 9/5/2014. kuanzia saa 8pm"
Post a Comment