Rio Ferdinand hakuonyesha kuwa ana “Staafu” (Retire) katika “statement” yake hiyo, anaonyesha dhahiri anataka kwenda kucheza timu nyingine, na mipango ya agency inayomshughulikia inaonyesha kabisa ameshaweka malengo yake sawa, sasa kazi itakua kwa Manchester United kumzuia labda kwa dau kubwa zaidi ya kiasi anacholipwa kwa sasa au kumuachia aende Club nyingine.
Former Man United striker, Dwight Yorke ameelezea uondokaji wa wachezaji Ferdinand na Nemanja Vidic, ni mwisho wa ERA ya Manchester UNITED kuwa mabingwa na kufanya vizuri katika soccer la Ulaya, ukizingatia ustaafu wa Manager Sir Alex Ferguson ambao umeifanya club hiyo kuteteleka. Yorke, ambae aliichezea Mancher United 1998 mpaka 2002, anaamini kuondoka kwa wachezaji hao ni mwiaho wa kipindi cha ‘Red Devils’.
Post a Comment