
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar
es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva
Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said
Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema

Sehemu ya waombolezaji

Sehemu ya waombolezaji

Sehemu ya waombolezaji

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kwenye mazishi ya Private
Brian Salva Ryweyemamu. Kushoto ni Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefua,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meja Jenerali Hassan Vuai Chema

Katekista aikongoza sala ya mazishi

Sehemu ya waombolezaji

Sehemu ya waombolezaji

Jeneza likiwa kaburini

Wazazi wa marehemu

Askari wa JWTZ wakishusha kaburini mwili wa mpiganaji mwenzao

Sehemu ya waombolezaji

Mama Isabella Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini

Baba Salva Rweyemamu akiweka udongo kaburini

Rais Kikwete akiweka udongo kaburini

Mama Salma Kikwete akiweka udongo kaburini

Dada wa marehemu akiweka udongo

Dada wa marehemu akiweka udongo

Majonzi ya kupoteza mpendwa

Wanafamilia wakiweka udongo

Waombolezaji wakisogea kuweka udongo kaburini

Waombolezaji wakiweka udongo kaburini

Meja Jenerali

Salva akipitia ratiba na wasifu wa Brian

Wanafamilia



Gwaride Maalumu likijiandaa kufanya zoezi la kuaga mwenzao kijeshi









Last Post

"Fyatuaaaaaa....."

Risala ya askari wenzie marehemu

Wazazi wakipokea risala

MC akiandaa waombolezaji kwa zoezi la kuweka mashada ya maua

Mashada ya maua yaizunguka picha ya marehemu

Waombolezaji

Katekista na msaidizi wake wakiongoza zoezi la kuweka shada la maua

Wazazi na shada maalumu la mtoto wao

Wazazi wakiweka shada lao la maua

Majonzi makubwa

Dada wa marehemu na shada lao maalumu kwa kaka yao

Dada wakiweka shada lao

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka mashada yao

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka shada

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiweka shada

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik akiweka shada

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Mwantumu Mahiza akiweka shada

Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe January Makamba akiweka shada

Mkuu wa Wilaya ya Kiondoni Mhe Jordan Rugimbana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema wakiweka shada lao

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe Muhingo Rweyemamu na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi wakiweka shada

Meja Jenerali Hassan Vuai Chema akimuaga kijana wake baada ya kuweka shada la maua

Dkt Reginald Mengi akiweka shada la maua

Wabunge Mhe Richard Ndassa na Mhe Zainabu Vullu wakiweka shada

Katibu wa Rais Bw Prosper Mbena akiweka shada la maua kwa niaba ya wafanyakazi wenzie Bw. Salva Rweyemamu

Majonzi ya mpendwa Getrude

Getrude anashindwa kujizuia

Mjomba na shangazi wa marehemu wakiweka shada lao

Mabibi wa marehemu wakiweka shada

Bibi wa marehemu akiweka shada

Mjomba na shangazi wa marehemu wakisogea kuweka mashada yao

Mama wakubwa wa marehemu

Nyuso za huzuni za waombolezaji

kinadada wakiweka shada lao

Makaka wakiweka shada

Shada la marafiki wa Salva linawekwa na Rahim Kangezi "Zamunda" na Dkt Shoo

Shada la marafiki wa Salva likiwekwa kaburini

Marafiki wa mama wa marehemu wakiweka shada

Brigedia Jenerali Kimaryo akiwa na shada lake

Brigedia Jenerali Kimaryo akiweka shada

Kiongozi kutoka kikosi cha Nyumbu akiweka shada

Profesa Janabi na mkewe wakiweka shada

Dada Clara Mbaga akisogea na shada lake

Dada Clara Mbaga akiweka shada

Wadau wa habari wakiweka shada

Premi Kibanga akiweka shada

Wawakilishi toka WAMA wakiweka shada

Jenerali Ulimwengu na Dkt Johnson Mbwambo wakiweka shada


Juma Pinto akiweka shada

Waombolezaji wakiweka mashada ya maua

Makamu Mwenyekiti wa chama cha vilabu vya waandishi wa habari Jane Mihanji na wenzie wakiweka shada

Meja Hassan akiweka shada

Mtani akiweka shada

Msemaji wa familia akitoa neno la shukurani

Sehemu ya marafiki wa karibu wa Salva

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa

Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni
Post a Comment