Mona Gangster na Throne Boy, wafanya Upikaji wa ‘Soundtrack’ ya ‘Short Film’ ya MRap Lion.

20140501-144658.jpg
Kama ilivyosikika kabla kuwa msanii Mrap Lion ameingia kwenye uigizaji wa filamu fupi, leo hii Mrap ameonekana kwenye STUDIO za ‘MONA Gangster’ kinondoni akirekodi soundtrack ya ngoma itakayotumika kwenye filamu hiyo ambayo beat yake imetengenezwa na producer mpya kabisa kwenye game ajulikanar kama ‘Throne Boy’.
Throne Boy ni producer ambae anatengeneza beat zake mwenyewe na wakati mwingine huweka kwenye mtandao wa kijamii ambapo siku chache zilizopita kwenye mtandao wa kijamii INSTAGRAM, Mrap katika pita pita alifanikiwa kuvutwa Sikio na beat moja ambayo ni kali sana na kuweza kuipeleka kwenye management ya utengenezaji wa filamu hiyo na kukubaliana kuwasiliana na ‘Throne Boy’ kukamilisha mipango na kuibgia na mzigo kumalizana na stage hiyo na kumalizia mchakato wa Project hiyo.
20140501-144825.jpg

Post a Comment

Previous Post Next Post