Kwa wengi kama mtakumbuka miaka 10 iliyopita mwanadada huyu akiwa anafanya kazi ndani ya ‘White House’ ya nchini Marekani chini ya “CLINTON Administration”, alikumbwa skendo kubwa sana ambayo ilizungumziwa sana na vyombo vya habari kwa mida mrefu baada ya kufumaniwa ana mahusiano ya kimapenzi na rais huyo. Monica Lewinsky (40) amesema ni muda wa kuachana mambo yake yaliyopita na kuendelea na maisha baada ya kupata shida sana kwa kitu kilichotokea, akiendelea kusisitiza kuwa mahusiano yao na rais huyo wa zamani wa Marekani yalikua ya kiutu uzima lakini ilibadilika na kuja kuwa “Scandal” ambayo ilikua ni aibu sana kwa jamii na kuweza kukaa nayo mpaka kwenye muelekeo wa maisha yake mpaka sasa.
“Sure, my boss took advantage of me, but I will always remain firm on this point: it was a consensual relationship. Any ‘abuse’ came in the aftermath, when I was made a scapegoat in order to protect his powerful position. . . . The Clinton administration, the special prosecutor’s minions, the political operatives on both sides of the aisle, and the media were able to brand me. And that brand stuck, in part because it was imbued with power.” Alisema Monica Lewinsky.
Soma Zaidi: www.vanityfair.com
Post a Comment