Wapenzi wa movie za X Men wiki hii ni yenu kwasababu movie mpya imetoka na hii imepewa jina la Days of future past.
Cheki trailer yake na pia kama una-plan ya kwenda kuangalia movie
weekend hii, unaweza kucheki ratiba nzima ya movie nyingine hapa.





Post a Comment