HomeENTERTAINMENT Mwasiti ashoot video ya ‘Serebuka’ Picha Hisia May 02, 2014 0 Mwasiti ameshoot video ya wimbo wake ‘Serebuka’. Video hiyo imeongozwa na Nick Dizzo aliyetengeneza video mbalimbali ikiwemo ‘Tummoghele’ ya Izzo B na ‘Nishike Mkono’ ya D-Knob. Hizi ni baadhi ya picha za uchukuaji wa video hiyo.
Post a Comment