STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever).
Natasha
alisema tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani, hajawahi kuugua
hata homa lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu homa ya dengu imemlaza. Natasha.
Miongoni
mwa mastaa ambao wameumwa ugonjwa huo ambao hauna tiba ya moja kwa moja
ni Rehema Chalamila ‘Ray C’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na Miss Afrika
Mashariki namba 2, 2008, Aneth John.
Post a Comment