
Linex
ametoa wimbo mpya kabisa ambao yeye mwenyewe anasema kuwa wimbo huu
ndio official (yaani rasmi) kwa mwaka huu. Mwezi mmoja nyuma zilitoka
nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe linex amesema hakuzitoa ila zilivuja
kwa bahati mbaya, kwahiyo kwa mwaka huu wimbo huu “onga onga”
ndio wimbo wake wa kwanza kutoa. Wimbo umefanyikia pale Sharobaro
records chini ya usimamizi wa producer ambaye huwa anafanya kazi zake
kwa umakini mkubwa huyu si mwingine ni bob junior. Ebu sikiliza huu
wimbo unavyochezeka.
Wimbo : Ongaonga
Msanii : Linex
Studio ; Sharobaro Records
Producer : Bob Junior
Contact za linex : 0713 991149
Post a Comment