Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba maeneo ya manzese darajani karibia
na bank ya advans yasemekana kuna nyumba 4 zinaendelea kuteketea na moto
mda huu, mpaka dakika hii chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, but
stay tune soon tutawajuza habari kamili kuhisiana na moto huo.
Baadhi ya wagonjwa wa
Hospitali ya Morden Centre iliyopo Manzese darajani wakiwa ndani ya gari
la wagonjwa baada ya kutimua hospitali kuhofia maisha yao baada ya
maduka jirani na hospitali hiyo kuwaka moto na moshi kujaa hospitalini,
hivyo kuwapa hofu wakonjwa. Chanzo cha moto huo hakijajulikana na vikosi
vya uokoaji vinaendelea na kazi ya uokoaji.
Post a Comment