News:- Picha 20, Video Mpya ya OMMY DIMPOZ- Angalia Hapa
Hisia0
Picha 20 “Exclusive” za utengenezaji wa video “Ndagushima” ya Ommy
Dimpoz iliyoachiwa Rasmi Leo exclusive kwenye kituo cha TV cha MTV
iliyofanyika mjini London UK na Director ‘Moe Musa’ ambae ameshafanya
video na wasanii kibao nchini Uingereza, Nigeria na Afrika Kusini kama
DAVIDO, Tiwa Savage, Fuse ODG, Ommy Dimpoz na sasa ametoka kufanya video
ya Diamond Platnumz.
Post a Comment