NFL Player Akamatwa, Kosa Girlfriend wake ana mahusiano na Rapper Nelly

20140518-175502.jpg
American rapper Nelly amejikuta jina lake linaingia kwenye “Relationship Drama” baada ya NFL Player wa timu ya ‘Panthers’ ambae alikamatwa siku ya Jumanne kwa kosa la “Assault” kwa mwanamke na kumtiahia kumuua wake girlfriend 24-year-old ‘Nicole Holder’.
Mwanadada Nicole amedai kuwa GREG alimtupa kwenye sofa iliyojaa silaha na kumtishia kumuua baada ya mahusiano ya muda mfupi na rapper Nelly. Nicole aliiambia ‘Charlotte Observer’ kuwa Hardy alikuwa na hasira sana sababu ya mahusiano hayo ya muda mfupi aliyokuwa nayo na Nelly wakati wakiwa wanajaribu kuweka mambo sawa ya mahusiano yao baada kutokuwa pamoja, mpaka siku ya jumanne ambayo Hardy alimchenjia.
“Greg was angry because of a short-lived relationship Nelly, We been trying to work things out and we were in bed together early Tuesday morning when Hardy just snapped”. – Nicole
Judge wa kesi hiyo amesema wapenzi hao walikuwa wamelewa wakati wanapiga simu 911 ambapo Hardy alimwambia Operator kuwa girlfriend wake anajaribu kumpiga na viatu vyake na amefanikiwa kumpiga mara 2. Simu hiyo aliyopiga NFL star huyo ilifanikiwa kukamatwa na CBS Sports na kuripotiwa Live.

Post a Comment

Previous Post Next Post