Jana kupitia akaunti yake ya Instagram Peter wa P-Square aliweka
picha yake akiwa rafiki yake aitwae ‘Phynofino’ ikimwonyesha akimkabidhi
hela. Picha hiyo ilifatiwa na ujumbe huu “Just lost a $5,000usd bet to
@Phynofino damn! We ll bounce bak next season.” Phynofino alijipatia
mkwanja huo baada ya kubet na Peter kuwa katika mechi kati ya Chelsea
na Athletico, Chelsea watafungwa.
Baada ya mechi hiyo Chelsea walifungwa na Athletico 3 – 1. Peter ni shabiki mkubwa sana wa timu ya Chelsea.
Post a Comment