SAMUEL ETO`O AMZABA KIBAO KINGINE JOSE MOURINHO JUU YA UMRI WAKE

Take that: Samuel Eto'o hit back at Chelsea manager Jose Mourinho after comments surrounding his age


Mourinho alinaswa na Camera akisema maneno mabaya kwa Eto`o kuwa umri wa nyota huyo unaweza kuwa zaidi ya umri wake halisi.
Eto'o, ambaye aliifungia Chelsea magoli  12  alishangilia moja ya bao lake kwa staili ya kibabu kinachotembelea mkongojo na kurudia kuwa bado anao uwezo wa kuendelea kucheza ligi za barani Ulaya.
"Napenda kusema kuwa siendi Marekani wala mashariki ya mbali," alisema Eto`o ambaye amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja aliosaini katika klabu ya Chelsea akitokea  Anzhi Makhachkala.
"Nitaendelea kucheza  `levo` za juu. Nitaendekea kucheza ligi ya mabingwa. Bado nina mapenzi makubwa na mashindano haya".
"Sitawaambieni ni wapi, lakini bado nitakuwa `levo` za juu. Nina miaka 33 na bado  nina makombe mawili ya dunia sijacheza".
"kabla yangu mimi kuna wachezaji waliocheza mpaka miaka 41. Kwahiyo namimi naweza".
Defying his age: Eto'o scored plenty of goals for Chelsea last season - out-performing those younger than him
 Eto'o aliifungia mabao mengi Chelsea msimu uliopita na kuwazidia vijana

Blunt and to the point: Mourinho was branded a 'fool' by the Cameroonian striker earlier this month
Mapema mwezi huu, Mourinho alipachikwa jina la `Mjinga` na Mcameroon, Samuel Eto`o

Post a Comment

Previous Post Next Post