Mmoja wa wadau wa utamaduni akiwa anawaonyesha malagwanani jinsi ya kutumia mishale
wanafunzi wakiwa wanapewa mafunzo ya kutengeneza magari ya mabati
machifu wakibadilishana uzoefu na ukabila wao
chifu
wa kinadi ambayo ipo katika wilaya ya Itilima mkoani Simuyu
Wenceslaus Clement akiwa anabadilishana mawazo na malagwanani wa
kimasai
mkutunzi
wa kabila la wabarabaigi akiwa anawaonyesha malegwanani wa kimasai
mishale ya sumu ambapo alisema kuwa mishale hiyo ina sumu kali ambayo
imetengenezwa na miti aina saba ambayo ikikupiga tu auwezi kukimbia ata
hatua ishirini kabla ujaanguka na dawa yake aipatikani hospitalini zaidi
ya wao wenyewe wanaotengeneza mishale hiyo kukupa dawa
maandalizi ya machalari yakiendelea
chifu
Gilbert Rugal Isambe akiwa anapokea maelezo ya jinsi ya kutengeneza
nguo za kabila ya kibarabaigi kutoka kwa mkufunzi wa kabila hilo ambalo
jina atukuweza kulipata
mnyama
aina ya ngamia nae pia aliletwa kwa ajili ya kuwa kivutio katika
tamasha hili na hapa wananchi na wanafunzi wakiwa wanawaaangalia wanyama
hao
mwanadada
wa libeneke la kaskazini akiwa amejumuika na waimbaji wa ngoma ya
kichaga wakiwa wanacheza pamoja hii yote ni kuuenzi utamaduni wetu
wanafunzi wa shule za msingi nao walikuwepo wanaendelea kuburudika na ngoma
vyakula vya jadi vikiwa vinaendelea kupikwa live
picha
ya juu na chini ni maandamano ya machifu kutoka mikoa mbalimbali yakiwa
yanaingia katika uwanja wa sheikh Amri Abeid kwa ajili ya sherehe za
tamasha la MTU KWAO lililoanza kufanyika jijini hapa
waandishi
wa habari akiwemo mdada wa woindeshizza blog (kushoto) wakiwa
wanaburudika na chakula cha jadi ya kimasai kiitwacho loshoro
Post a Comment