UTABIRI MPYA: WABUNGE KUPOTEZA KAZI, VIONGOZI KUFA

Mtabiri maarufu Bongo, Alhaji Maalim Hassan Yahya Hussein.
Na Gladness Mallya na Deogratius Mongela
Wakati Bunge la Bajeti 2014/15 likiendelea mjini Dodoma na hivi karibuni viongozi wa dini kutoa ufafanuzi wa kuonekana kwa mwezi mwekundu na kueleza kwamba unaashiria mwisho wa dunia, mtabiri maarufu Bongo, Alhaji Maalim Hassan Yahya Hussein amefunguka kwamba hiyo ni ishara kuwa, wabunge wengi watapoteza nyadhifa zao na viongozi wengi watakufa.
Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Dar, Maalim Hassan amesema Bofya Hapa kusoma zaidi

Post a Comment

Previous Post Next Post