Mwadada anayefanya vizuri katika music industry Vanesa Mdee ambaye
siku ya tarehe 3 may mwaka huu ilikuwa siku ya historia katika mzuiki
baada ya kupata tuzo ya Wimbo bora wa R & B kupitia wimbo wake wa
‘Closer’ na kuwamwaga wasanii wengine kama Lady Jay Dee, Maua na
wengine. Baada ya kupata tuzo alisema,
”Namshukuru Mungu kwa kunitendea leo ni siku ya historia kwangu
kiukweli.Nakumbuka wakati naanza kuimba niliambiwa naimba kizungu sana
Watanzania hawatanielewa na napoteza muda wangu,lakini leo mashabiki
wangu wameonyesha kuwa muziki mzuri ndiyo unapewa nafasi na siyo staili
ya muziki ya msanii anaofanya.Asante Mungu mashabiki na waandaji”.
alimalizia kwa kulia.
Post a Comment