Katibu
wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali (katikati), akizungumza
na wandishi wa habari, leo makao makuu ya klabu hiyo Jangwani, kuhusu
azimio lao la kumfuata Mkuu wa Mkoa Dar Meck Sadiki Jumatatu wiki hii,
wakishinikiza kupewa majibu ya ombi lao la kuongozewa eneo kwa ajili ya
ujenzi wa Uwanja wa kisasa pale Jangwani.
Mzee
Akilimali (katikakati) akisisitiza jambo wakati akizungumza na
waandishi wa habari. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Bakiri
Makele. Dhumuni kuu wamepanga Jumatatu guu kwa guu hadi kwa Mheshimiwa
Sadiki kutaka majibu ya eneo la Kaunda ili ujenzi uanze mara moja.
Post a Comment