
Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni. Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.

Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
Picha zaidi ya Ishirini Bofya Hapa/Maelezo
Post a Comment