Brazil yapenya kwa matuta Robo Fainali, dhidi ya Chile

Embedded image permalinkBrazil yapenya kwa Mikwaju ya penalt, baada ya Mchezo wao dhidi ya Chile kutoka sare ya Goli 1 - 1, Brazil ilikuwa timu ya kwanza kuliona Goli la wapinzani wao Chile mnamo dakika 18 ya kipindi cha kwanza kupitia kwa David Luiz , dakika ya 32 ya kipindi cha kwanza Chile walisawazisha kupitia kwa Alexis Sanchez Hadikufikia Mwisho wa mchezo Brazil 1 - Chile 1, Dakika za 30 za nyongeza nazo zikatoka suruhu, hadi kufika kwenye matuta, ambapo Brazil iliibuka na ushindi wa goli 3 - 2.

Post a Comment

Previous Post Next Post